Monday, August 27, 2012

Luka Modric Sasa ni Mchezaji wa Real Madrid kwa £33m

Welcome: Real Madrid posted this picture on Twitter of Luka Modric arriving on Monday

Luca Modric atatambulishwa kama mchezaji wa Real Madrid siku ya Jumatatu baada ya usajili wa pauni milioni 33 kukamilika leo.
Kiwango hicho ni pungufu ya kile walichokuwa wanataka Tottenham, ambacho ni zaidi ya pauni milioni 35.

Thumbs up: Modric looks relaxed as he undergoes his medical at Madrid
Mambo poa: Modric akiwa katika uchunguzi wa afya kabla ya kutia saini
Real deal: Modric has finally completed his move to the Santiago Bernabeu
Mara baada ya kumaliza kusaini mkataba na kuwa rasmi mchezaji wa Real  
Makubaliano ya Madrid na Spurs yalikuwa magumu kufikiwa kutokana na ada ya uhamisho waliyokuwa wanataka kulipa Real na kiasi walichokuwa wanataka kulipwa Tottenham.
Hivyo kupelekea kuingiwa kwa mkataba mwingine wa USHIRIKIANO kati ya klabu hizo mbili.

All smiles: The Croatian arrives for his medical and takes time to pose for the waiting photographers
Akitabasamu baada ya kupima afya 
All smiles: The Croatian arrives for his medical and takes time to pose for the waiting photographers
Akipozi kwa ajili ya picha 
    Modric alifanikiwa kufaulu uchunguzi wa afya leo asubuhi, na baada ya taratibu wa kiofisi kukamilika atasaini mkatba wa miaka mitano wa kuwa Bernabeu. 

Tovuti ya Real Madrid iliandika: "Mchezaji mpya wa Real Madric, Luka Modric  amefaulu uchunguzi wa afya uliofanyika katika hospitali Sanitas La Moraleja kabla ya kusaini rasmi na klabu. 

Done deal: Luka Modric has signed for Real Madrid from Tottenham
Modric amejiunga Real Madric akitokea Tottenham 
Tottenham sasa wana kazi ya kusaka mrithi wa Modric ikizingatiwa muda wa usajili uliobaki ni mdogo.  
Mitego ya Spurs ipo kwa Wabrazili  wawili: Willian anayechezea Shakhtar Donetsk na Leoandro Damiao Intanacional.

Wanted: Shakhtar Donetsk's Willian (top) is a target for Tottenham
Wanted: Willian anatakiwa na Tottenham kupunguza machungu ya Modric 
 Mchezaji wa Fulham Moussa Dembele pia ni chaguo lingine la White Hart Lane, na maskauti wa Spurs walikuwepo Ufaransa kumuangalia mchezaji wa Marseille  Loic Remy katika mechi waliyoshinda 1-0 dhidi ya kwa ajili ya Montpellier kabla hawajaamua kutupa ndoano.

Happy Monday!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment