Thursday, September 13, 2012

VIDEO: Kambi ya Kisasa Ya Kukuza Vipaji na Timu Ya Taifa Uingereza

St George's Park ni kambi ya timu ya Taifa ya Uingereza chini ya FA.
Hichi ni kituo cha kisasa kabisa na kitakua ni kwa ajili ya kukuza vipaji vya wachezaji na makocha ambao wapo chini ya Shirikisho La Soka Uingereza (FA) na kambi rasmi ya matayarisho ya timu  ya Taifa ya Uingereza kwa mechi zake za Kimataifa.
Hapo chini ni video ya kambi hiyo ya kisasa, cha ajabu Uingereza bado wanaboronga. Hapa Bongo tukiwa na kitu cha namna hii itakuwaje? Labda tutachukua Kombe La Dunia,
Enjoy!!!!!!ALHAAMISI NJEMA!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment