Wednesday, September 12, 2012

VIDEO: England 1-1 Ukraine Matukio Ya Mechi


England wametoka suluhu katika uwanja wa nyumbani chini ya mkufunzi wao Roy Hodgson, Frank Lampard aliisawazishia timu yake muda mchache kabla mpira kumalizika dhidi ya Ukraine katika uwanjwa wa Wembley.
Ingawa wengi wameponda kiwango kibovu kilichooneshwa na England, Kucha mkuu wa timu hiyo ameridhishwa na kiwango hicho.
Kwa kuangalia matukio katika video hii unaweza ukaona wewe mwenyewe.
Je wadhani kwa kiwango hichi wanaweza kufuzu 2014 World Cup au itakua kama kawaida yao kudai bahati haikua yao.
Angalia Video hapo chini. 

No comments:

Post a Comment