Wiki hii tunamuangalia Angelo Henriquez.
Huyu ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Chile, ingawa ni mdogo ila United wamemtolea pauni milioni 4 kunyakua wiki iliyopita ambazo si pesa kidogo kwa mchezaji asiyejulikana.
Katika ligi ya kwao amefunga jumla ya magoli 11 katika mechi 17 alizocheza msimu uliopita. Kwa kipindi hichi ndiye mchezaji chipukizi mwenye mambo makubwa uwanjani kuliko yeyote Amerika ya Kusini.
Kama bado hujamuona Henriquez na vitu vilivyomvutia Sir Alex hujachelewa, mcheki akiwa in action. Na mjaji we mwenyewe kama yuko tayari kucheza ligi yenye ngumu Uingereza.
Ukitoa comment hapo chini si mbaya ili wadau mjadili.
No comments:
Post a Comment