Thursday, September 13, 2012

VIDEO: Brazil 8-0 China, Neymar Alivyopiga Tatu


Neymar amepiga hat-trick katika ushindi mnono wa  Brazil, wakionesha kutokua na huruma na kuinganiza timu ya China 8-0.

Magoli Yote
1-0 Ramires 23′
2-0 Neymar 26′
3-0 Lucas 49′
4-0 Hulk 52′
5-0 Neymar 53′
6-0 Neymar 59′
7-0 Liu J. (o.g) 69′
8-0 Oscar (Penalty) 76′

SIKU NJEMA!!!!!!!′

No comments:

Post a Comment