Hilo limekuja baada ya kuondoka kwa nahodha na mfungaji bora wa ligi msimu uliopita kujiunga na United mwezi jana ulileta wasiwasi Emirates, na Arsenal kuichakaza Liverpool katika uwanja wake wa nyumbani Anfield jana jioni.
Wenger amefanya mabadiliko katika kikosi na alisema: "Sisi ni bora kuliko msimu uliopita? ni mapema kusema hivyo lakini hilo ndilo lililopo.
"Kuna vitu vidogo vidogo vya kushughulikia na dalili zinaonesha mambo ni mazuri. Angalia viungo wetu. Tuna Arteta, Cazorla, Wilshere, Coquelin, Rosicky, Ramsey.
Vermanator: Nahodha wa Arsenal mzoezini kabla ya meechi dhidi ya Liverpool jana |
"Tulimaliza mpira tukijihisi tulifanya vema"
Wachezaji wapya wa wanaompa matumaini Wenger |
Wenger alimalizia: "Kila mtu alifahamu Cazorla asingechukua miezi sita kuzoea na Diaby ni muhimu sana kwetu."
SHUKRANI
No comments:
Post a Comment