Dembele ambaye hua akiwasumbua Mashetani Wekundu kila mara anapokutana nao uwanjani, alikuwa akitakiwa na Alex Ferguson ila Tottenham walilipa zaidi na wakati Mzee Ferguson akifikiria kuongeza dau, tayari Spurs walikuwa wamesha kamilisha usajili huo.
Dembele alin'gara dhidi United katika mechi iliyochezwa Old Trafford hivi karibuni |
Moussa Dembele aliyetua Spurs kwa kikita cha pauni milioni 15, anakuwa ni mchezaji wa pili kwa Manchester United kumkosa baada ya Lucas Moura naye kubadili mawazo na kuchagua kutia saini PSG ya Ufaransa.
IJUMAA NJEMA!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment