Van Persie kwa kusaidiwa na Sir Ferguson akionesha jezi yake number 20: je atawapa taji namba 20? |
Robin van Persie na Bosi wakionesha saa maalum za Mashetani Wekundu |
Robin akisalimiana na wachezaji wenza wapya mazoezini Carrington |
"Nina furaha kua hapa na nina hamu ya kufanikiwa zaidi hapa” alisema Robin |
RvP akiwa mazoezini kwa mara ya kwanza. |
“Robin alitaka sana kuja Manchester United” alisema Sir Alex |
Robin van Persie sakisaini United |
No comments:
Post a Comment